Copy the code below and paste it into your website.
Download our desktop apps
EAG T KIA FM
EAG T KIA ni radio ya kikristo kutoka kia, Kilimanjaro. Tunakutangazia nyimbo za kuabudu na kusifu, Neno la MUNGU na habari za kikristo. Karibu ujengwe na kuimarika kiroho, kimwili, kiuchumi, kielimu, kiafya. Karibu sana na MUNGU akubariki sana.
EAG T KIA ni radio ya kikristo kutoka kia ,kilimanjaro .Tunakutangazia nyimbo za kuabudu na kusifu , Neno la MUNGU na habari za kikristo. Sikiliza live hapa kwa habari na kujengwa katika Neno la Mungu .Karibu ujengwe na kuimarika kiroho , kimwili , kiuchumi ,kielimu, kiafya .Utapata mafundisho kutoka kwa watumishi wa Mungu waliojaa nguvu na mafuta ya Roho mtakatify. Hapa ndipo mahali Mumgu ameahidi baraka zako . Karibu sana na MUNGU akubariki sana.